Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 87
  • Chakula cha Jioni cha Bwana

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Chakula cha Jioni cha Bwana
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Mlo wa Jioni wa Bwana
    Mwimbieni Yehova
  • Mlo wa Jioni wa Bwana
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • ‘Fanyeni Hivi kwa Kunikumbuka Mimi’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Kwa Nini Tuadhimishe Mlo wa Jioni wa Bwana?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 87

Wimbo 87

Chakula cha Jioni cha Bwana

(1 Wakorintho 11:23-26)

1. Yehova, Baba wa mbinguni,

Ni jioni takatifu!

Siku ya kumi na ine Nisani

Kukawa ’tukufu, pendo.

Kondoo kupitwa kaliwa

Israeli wakatoka.

Baadaye Bwana akamwaga damu,

Kuutimiza unabii.

2. Mbele zako tumekutana,

Tukiwa kondoo zako,

Tusifu pendo lilishusha Yesu,

Tuheshimu jina lako.

Mbele yetu tunayo meza.

Ya divai na mukate.

Ni mifano, twajua; ni vikumbusho

Vya chakula cha kutulisha.

3. Mukate mufano wa mwili

Yesu alitutolea.

Divai kikombeni ni mufano

Damu yake ya fidia.

Ukumbusho na tuukaze

Moyoni, na akilini.

Hivyo daima na twende kama Kristo,

Tupate uzima milele.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki