Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 64
  • Imani Kama Ile ya Abrahamu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Imani Kama Ile ya Abrahamu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Jaribu la Imani
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Yehova Alimwita “Rafiki Yangu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2016
  • Mungu Anajaribu Imani ya Ibrahimu
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
  • Abrahamu Alikuwa Nani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 64

Wimbo 64

Imani Kama Ile ya Abrahamu

(Mwanzo 22:1-18)

1. Yuna furaha atakaye

kujua Neno;

Mungu kwa uwezo Wake

Yote ayajua.

Kwa faraja na imani

Katufunulia

Yatakayotujilia,

Nayo yatimia.

2. Angalia Abrahamu,

Yule anakwea

Moria kwenye kilele,

Na Isaka pia.

Yah kaagiza Abra’mu

Achinje mwanake

Dhabihu ya kutolea,

Mapenzi yafanywe.

3. Kashinda jaribu lile,

Mufano katoa

Namuna Mwana wa Mungu

Alitufidia.

Wataka uzima kwake?

Lazima utii.

Amini Kiabrahamu

Na uwe mutii.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki