Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 190
  • Wimbo kwa Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wimbo kwa Yehova
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Wimbo Mpya
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Wimbo Mpya
    Mwimbieni Yehova
  • Wimbo Mpya
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Shiriki Wimbo wa Ufalme!
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 190

Wimbo 190

Wimbo kwa Yehova

(Zaburi 92:1, 2)

1. Twaimba wimbo kwa Mungu,

Kwa kutuongoza njia.

Tunamushukuru sana

Twamwimbia sifa.

Ni mwenye fadhili sana

Tu karibu sana naye.

Kweli ’metuweka huru.

Tu mali ya yeye.

2. Shukurani kwa Mungu kwa

Nuru, inatuongoza.

Humulika waziwazi

Kuleta faraja!

Twashukuru kwa tumai;

Hatupapasi gizani

Twayaweza matatizo.

Moyo wafurahi.

3. Twaimba sauti tamu

Tukimuabudu Mungu,

Kupitia Yesu Kristo

Tunatoa sala:

“Yehova Mungu wa pendo,

Pokea shukrani zetu.

Sikia maombi yetu,

Kwa ulinzi wako.”

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki