Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 158
  • Umoja Wetu wa Kikristo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Umoja Wetu wa Kikristo
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Familia ya Yehova Hufurahia Muungano Wenye Thamani
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
  • Umoja wa Kikristo Unamletea Mungu Utukufu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • Dumisheni Muungano Katika Siku Hizi za Mwisho
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
  • Ni Nini Kinacholeta Umoja wa Kweli Miongoni mwa Wakristo?
    Huduma Yetu ya Ufalme—2003
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 158

Wimbo 158

Umoja Wetu wa Kikristo

(Waefeso 4:13)

1. Ni nani yu kama Yehova,

Chanzo cha umoja ndiye!

Kufunza kweli, tuwekwe huru,

Alimutuma Mwanaye.

Akaweka musingi wa

Umoja katika Yesu.

Kuwaunganisha kama jamaa

Washikao Neno lake.

2. Sisi wenye umoja naye

Yesu, twadaiwa nini?

Mawazo, Mwenendo yapatane,

Tufanye penzi la Mungu.

Kazi za mwili huzuni,

Tunda la roho furaha.

Na furaha zaidi kwa kutoa,

Tunapofuata Mungu.

3. Uone mupango wa Mungu,

Ni kinga na ni mwongozo.

Ukweli ukiturekebisha,

Tutadumu umojani.

Mungu anataka nini?

Tuonyeshe sifa gani?

Haki na fadhili, kisha kiasi,

Kwenda njia yake njema.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki