Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 108
  • Neno la Yehova ni Jaminifu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Neno la Yehova ni Jaminifu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Anataka Tufanikiwe
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Aliyokumbuka Yoshua
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2002
  • Yoshua 1:9—“Uwe Jasiri na Imara”
    Mistari ya Biblia Yafafanuliwa
  • Kitabu Cha Biblia Namba 6—Yoshua
    “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa”
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 108

Wimbo 108

Neno la Yehova ni Jaminifu

(Yoshua 23:14)

1. Kama mvua kutoka mbinguni

Na inazalisha dunia,

Ndivyo na Neno lake Yehova;

’Tatimia, litafunuliwa.

2. Yoshua aliambia yule

Israeli wema wa Mungu.

Ahadi zake zote Yehova

zilitimia; kwa nguvu zake.

3. Kwa warithi wa ahadi Mungu

Kaonyesha neno hakika.

“Mimi naapa,” kasema Mungu.

Tuna tumaini kama nanga.

4. Neno la Mungu ni la hakika.

Ahadi yake ‘tatimia.

Katika ule Mufumo Mupya,

Tutasifu Mungu mwaminifu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki