Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 146
  • Kimbilia Ufalme wa Mungu!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kimbilia Ufalme wa Mungu!
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kimbilia Ufalme wa Mungu
    Mwimbieni Yehova
  • Hatimaye—Uzima Bila Mwisho!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Uzima wa Milele Umeahidiwa
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 146

Wimbo 146

Kimbilia Ufalme wa Mungu!

(Sefania 2:3)

1. Mutafuteni Yehova, wapole;

Na uadilifu na upole.

Wakati wa hiyo hasira yake

Awafiche siku ile.

(Korasi)

2. Njoni, wenye njaa ya kweli, haki;

Mbona muhuzunike, mulie?

Mungu mujie, Mwonezi mwepuke

Yesu mumunyenyekee.

(Korasi)

3. Kwa kufurahi vichwa inueni.

Ni wazi upo Ufalme wake!

Nuru ya Yehova ikubalini

Na mumwogope yeye tu!

(KORASI)

Ufalme wa Mungu kimbilia,

Shikamana na huo (na huo)

Utapata ulinzi na baraka;

Amri yake sikia. (sikia.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki