Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 189
  • Kutangaza Siku ya Kisasi cha Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kutangaza Siku ya Kisasi cha Yehova
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Siku ya Kisasi cha Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
  • Sababu gani Mungu wa upendo atalipa kisasi?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
  • “Nimekuweka Kuwa Mlinzi”
    Hatimaye Ibada Safi ya Yehova Yarudishwa!
  • Mwige Yesu—Hubiri Kwa Ujasiri
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 189

Wimbo 189

Kutangaza Siku ya Kisasi cha Yehova

(Isaya 61:2)

1. Tarumbeta zalia;

Waziwazi sana.

Na siku ya kisasi

Inakaribia.

Tunatangaza wazi,

Hatuhofu watu.

Na onyo litangazwe;

’Falme kazaliwa.

2. Vita ni ya Yehova.

Yesu ni amiri.

Ushindi kamili, kwa

Ukweli na haki.

Mbinu zake Shetani

Zitabatilika.

Mungu ametufunza

Kuipiga vita.

3. Walinzi na waonye.

Pamoja wasema.

Na kila mutu pake

Atakavyo Mungu.

Wakati wa Mungu wa

Sisi kuhubiri

Na kutoa ripoti,

Wapunguka sana.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki