Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 116
  • “Ni Lazima Msaidie Wale Walio Dhaifu”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Ni Lazima Msaidie Wale Walio Dhaifu”
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • “Mwasaidie Wale Walio Dhaifu”
    Mwimbieni Yehova
  • “Mwasaidie Walio Dhaifu”
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • “Imewapasa Kuwasaidia Wanyonge”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
  • ‘Iweni na Upendo Miongoni Mwenu Wenyewe’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 116

Wimbo 116

“Ni Lazima Msaidie Wale Walio Dhaifu”

(Matendo 20:35)

1. Kuna unyonge mwingi

Tulio nao.

Hata hivyo, Yehova

Anatupenda.

Ni mwenye rehema,

Njia zake bora.

Kama yeye tupende,

Tusaidie.

2. Badala ya laumu,

Na tukumbuke

Inafaidi sana

Kuwafadhili.

Tuwe na bidii,

Tuwatie moyo.

Na kuwategemeza,

Wafarijike.

3. ‘Ni nani mudhaifu?’

Kakaza Pa’lo.

Wahisivyo, tuhisi,

Tuhurumie.

Enyi wenye nguvu:

“Wasaidieni.”

Na walikombolewa,

Ili waishi.

4. Wanyonge ’saidie,

Mungu asema.

Na tuwasaidie

Tubarikiwe.

Ni mali ya Mungu.

Na wapate nguvu.

Tuwape musaada

Tutiwe nguvu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki