Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 58
  • Yehova, “Mungu wa Faraja Yote”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova, “Mungu wa Faraja Yote”
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Liwazo Kutoka kwa “Mungu wa Faraja Yote”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
  • Wafariji Wale Wanaohuzunika
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • ‘Wafariji Wote Wanaoomboleza’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • Jinsi Mungu Anavyotufariji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2016
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 58

Wimbo 58

Yehova, “Mungu wa Faraja Yote”

(2 Wakorintho 1:3-7)

1. Mungu anatupa faraja;

Yeye anatupenda.

Tufariji, watu kwa Neno,

Chini ya Mwana wake.

2. Kuna taabu na mateso;

Yanatupata sote.

Mungu ’tachangamusha moyo,

Kwani twashuhudia.

3. Bariki Mungu wa faraja;

Twaona uhakika.

Twasaidiwa na kulishwa

Tunapovumilia.

4. Nguvu, amani ya akili,

Tunaweza kupata.

Tulifunzwa kweli na Yesu:

Yehova ni upendo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki