‘Kinayazidi Matazamio Yote’
WANAMUME mmoja katika Uholanzi aliyeajiriwa kazi kama mtafiti wa kisayansi anaandika hivi: Si mara nyingi ambapo mimi nachukua kalamu niandike uthamini wangu, kwa mambo ambayo nimesoma. Lakini kichapo Life—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation? ni kitabu kisicho na kifani kweli kweli.” Mwanamume huyo anaeleza kwamba yeye hukutana kila siku na wanabayolojia na kwamba “ingemhitaji mtu kama huyo aone muujiza ndipo kweli aweze kusadiki uumbaji. Lakini kwa kweli kitabu hiki kinayazidi matazamio yote. Mfuatano wa mambo yenye kutokezwa
kiakili ya sura zile na mifano iliyomo ni mambo yanayopatana na hali ya sasa ya kisayansi hivi kwamba ungeweza kuyakataa ikiwa tu wewe ni kipofu. . . . Zaidi ya kitu kinginecho chote, jambo linalofanya kitabu hiki kiwe chenye kuaminika ni yale marejezo yaliyotolewa katika vitabu vingine, ambamo wanamageuzi wenye sifa wanaruhusiwa kusema . . . . Hakika mimi nakusudia kuwaonyesha kitabu hiki wengine wa (waliokuwa na watakaokuwa) wenzi wangu wa kikazi.”
Sisi tunafikiri kwamba wewe utahisi juu ya kitabu Creation kama anavyohisi mtafiti huyo wa kisayansi. Peleka leo maombi ya kuagiza kitabu hiki cha kurasa 256 chenye picha za kupendeza sana.
Tafadhali mnipelekee, mkiwa mmelipia malipo ya posta, kile kitabu Life—How Did lt Get Here? By Evolution or by Creation? Onyesha kwa kutia alama visanduku vile mbalimbali kama unataka chapa ile ndogo kwa Kshs. 20.00 (Tshs. 55.00) [ ], au kile kikubwa kwa Kshs. 40,00 (Tshs. 110.00) [ ], na utupelekee pia pesa zinazofaa.