Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 1
  • “Bariki Yehova, Ee Nafsi Yangu”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Bariki Yehova, Ee Nafsi Yangu”
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • ‘Ee Nafsi Yangu, Umhimidi Yehova’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1999
  • Yehova Astahili Sifa ya Milele
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
  • Washikamanifu Wako Watakubariki
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Bariki Kukutana Kwetu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 1

Wimbo 1

“Bariki Yehova, Ee Nafsi Yangu”

(Zaburi 103)

1. Bariki Yehova nafsi

—Midomo sifu jina lake—

Asameheye makosa,

Huondoa huzuni yote.

Haoni hasira upesi,

Kazi zake zaonyesha.

Wote wachao Yehova,

Wataziona fadhili.

2. Kama vile baba, Mungu,

Ajua sisi ni mavumbi,

Na kama ua kondeni,

Sisi tutanyauka mara.

Fadhili za Yehova Mungu

Ni kwa wale watiifu.

Tukikumbuka agizo,

Haki yatutegemeza.

3. Yehova amekiweka,

Kiti cha Ufalme mbinguni.

Anavitawala vyote;

Ameonyesha nguvu zake.

Mubarikini, malaika;

Lisifuni jina lake.

Jeshi lote barikini.

Bariki Yehova, nafsi.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki