Wimbo 7
Tumaini la Yubile ya Wanadamu
1. Uumbaji waugua.
Bila tumaini.
Sabato yakaribia.
Kuleta faraja.
2. Yubile yenye amani;
Yaleta uhuru,
Yesu atafanya hilo;
Mungu amesema.
3. Kwa utawala wa Yesu,
Watu kuwa bora.
Yubile ya utukufu
Utumwa ukome.
4. Watangaza tumaini
Hili la furaha.
Majibu ya sala zao
Wanatazamia.