Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 14
  • “Furahini, Mataifa”!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Furahini, Mataifa”!
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • “Furahini, Enyi Mataifa, Pamoja na Watu Wake”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
  • Kufurahisha Moyo wa Yehova
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kufurahisha Moyo wa Yehova
    Mwimbieni Yehova
  • Kufurahisha Moyo wa Yehova
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 14

Wimbo 14

“Furahini, Mataifa”!

(Warumi 15:10)

1. E mataifa, furahini!

Ufalme karibu.

Yesu atawala Sayuni;

Furahini! kote

Nyakati za ’Taifa kwisha;

Siku zao kwisha.

E mataifa furahini!

Yesu atawala.

2. E mataifa, furahini!

Mwisho u karibu

Nayo vita Har–Magedoni;

Ni karibu sana.

Hata wape sanamu sifa

Na Mufalme teke,

Sisi twamutolea heko;

Enzi ipanuke.

3. E mataifa, furahini!

Sema milangoni

Habari njema za Ufalme;

Na pwani tangaza

Yesu ndiye ’tatawala kwa,

Hekima, Upendo.

E mataifa, furahini!

Tumikia Mungu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki