Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 102
  • Furaha ya Ufufuo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Furaha ya Ufufuo
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Suluhisho Pekee la Kifo!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
  • Nguvu za Tumaini la Ufufuo
    Mwabudu Mungu wa Pekee wa Kweli
  • Inakuwaje Wakati wa Kufa?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
  • Sheoli na Hadesi Zinamaanisha Nini?
    Biblia Inafundisha Nini Hasa?
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 102

Wimbo 102

Furaha ya Ufufuo

(Ufunuo 20:13)

1. Lazaro kalala

Kaburini fo.

Dada wakalia!

Wasimwokoe.

‘Yesu angewahi

Atangulie,

Kuzuia kifo,

Kisingekuja.’

Yesu kaburini

Kapaza mwito.

Kwa nguvu kaita,

‘Lazaro, njoo!’

Na ajapofungwa

Sanda, atii.

Wakamusikia

Lo! shangwe hiyo!

2. Waliotaraji

Kukombolewa,

Wahuzunikia

Kifo cha Yesu.

Rafiki wamweka

Mule kaburi.

Lo, huzuni gani

Na majonzi we!

Mungu akashinda

Nguvu Hadesi.

Akamufufua,

Siku ya tatu.

Akaonwa nao

Wafuasiye.

Yuna funguo za

Kifo, Hadesi.

3. Adamu kaweka

Sote kifoni;

Kurudi kwa wafu

Katika Kristo.

Walio Hadesi

Watasikia

Sauti yake na

Kutoka hai.

Mbele zake Mungu

‘Tahukumiwa

Kwa matendo yao

Ya muda huo.

Akiyaandika

Majina yao,

Waishi katika

Dunia mupya.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki