Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 212
  • Asante, Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Asante, Yehova
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Asante, Yehova
    Mwimbieni Yehova
  • Asante, Yehova
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kumwonyesha Mungu Kuthamini Kwetu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
  • Sala ya Mtumishi wa Mungu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 212

Wimbo 212

Asante, Yehova

(1 Wathesalonike 5:18)

1. Asante, Yehova siku kwa siku,

Kwa kutupa nuru ya thamani.

Asante kwa pendeleo la sala,

Twaweza kukujia na shida.

2. Asante, Yehova, kwa Mwana wako.

Alishinda kifo na Hadesi.

Twapiga asante kwa uongozi,

Hivyo twazitimiza nadhiri.

3. Asante, Yehova, kwa udugetu,

Tupatapo wenzetu wa kweli.

Asante kwa kutupa roho yako,

Yatusaidia mwendo wetu.

4. Asante, Mungu wetu, kwa heshima

Kuhubiri jina lako kubwa.

Asante ole zote zitakwisha,

Baraka za ‘Falme za milele.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki