Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 132
  • Linda Moyo Wako

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Linda Moyo Wako
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Linda Moyo Wako
    Mwimbieni Yehova
  • Endelea Kujilinda Dhidi ya Majaribu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2024
  • Tuulinde Moyo Wetu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • “Ninyi na Mwe na Amani”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 132

Wimbo 132

Linda Moyo Wako

(Mithali 4:23)

1. Mioyo yenu lindeni,

Mutuzwe uzima.

Mushauriwe na Neno

Mujue daima

Mema yanafuatia

Tunayowazia.

Wakristo, mawazo yenu

Ninyi yalindeni.

2. Kuulinda moyo wako

Sala tumepewa.

Umusifu; umwambie,

Haja zako zote.

Funzo la Neno la Mungu

Akili lalinda

Walio nuruni pia

Tushirikiane.

3. Kazia akili mambo

Yaliyo mazito,

Safi yenye kupendeka.

Na ya kusifika.

Amani utaipata

Ukiyawazia,

Moyo walindwa, na mwisho

Ni uzima pia.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki