Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 36
  • “Wenye Furaha ni Wenye Hali Pole”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Wenye Furaha ni Wenye Hali Pole”
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Wenye Hali Pole Ni Wenye Furaha Kama Nini!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
  • Igeni Upole wa Kristo
    Mwimbieni Yehova
  • Tafuta Upole Umpendeze Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
  • ‘Pata Furaha Tele Katika Yehova’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 36

Wimbo 36

“Wenye Furaha ni Wenye Hali Pole”

(Mathayo 5:5)

1. Mungu hubariki wapole;

Furaha yao ni kubwa.

Shidani hawatasumbuka,

Wanamungojea Mungu.

Hawawajali waovu,

Wanaojiweka juu.

Uzima hao watakosa,

Wanyauke kama nyasi.

2. ‘Mimi nalikuwa kijana,’

Kasema hivyo Daudi.

‘Sijaona mwema aachwa,

Mwana aomba chakula.’

Basi Mungu ’tumaini

Tendea watu mema, na

Ukifurahia Yehova,

Atakubariki sana.

3. Watatokomea waovu;

Wawe hawaonekani.

Wapole wataamanika

Na kudumu duniani.

Basi tuzidi kusema

Neno lina roho, kweli

Na tuwe wapole, wanana

Kwa ’wazo na tutendayo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki