Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 41
  • Sifu Yehova, Mwamba

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Sifu Yehova, Mwamba
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Uumbaji Unafunua Utukufu wa Yehova
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Msifu Yah Pamoja Nami
    Mwimbieni Yehova
  • Msifu Yah Pamoja Nami
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Sifu Yehova Mungu Wetu!
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 41

Wimbo 41

Sifu Yehova, Mwamba

(Kumbukumbu la Torati 32:4)

1. ‘Sikilizeni, Mbingu; dunia,

Sikilizeni nawaambia.

Mafundisho yangu kutonatona,

Kweli zangu zinyeshe; kama mvua.’

2. Tuutangaze Ukuu wa Yah,

Wote wajue ukuu wake.

Wote wa kundini kushangilia;

Kazi kamilifu kumusifia.

3. Wa haki Mungu Sifa ni kwake.

Njia zake ni zenye hekima.

Aonyesha sana yuko hakini,

Yehova Mwamba wetu ni amini.

4. Na tumwogope Mungu wa kweli;

Tuzitii za Mungu amuri

Tusitende ovu Upande wetu.

Kwa moyo safi twahudumu Mungu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki