Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 140
  • Kumngojea Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kumngojea Yehova
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Je! Kuna Manufaa Yo Yote Katika Kutaabika?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
  • “Bariki Yehova, Ee Nafsi Yangu”
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Maombolezo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • Sifa ya Wema
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 140

Wimbo 140

Kumngojea Yehova

(Maombolezo 3:22-27)

1. E Mungu, fadhili zako

Kaokoa sisi!

Udumu wema kwa sisi

Tukuogopao!

2. Yehova, rehema zako

Mupya kila siku.

U mwaminifu kwa wale

Wakutumaini.

3. Vema shujaa kubeba

Nira ya ujana:

Kungojea Mungu kimya,

Kutumika kweli.

4. U fungu letu, Yehova.

Tuwe twaonyesha

Kufundishika, upole,

Tunapokujua!

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki