Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 174
  • Kaeni Macho, Simameni Imara, Mwe Hodari

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kaeni Macho, Simameni Imara, Mwe Hodari
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kaeni Macho, Simameni Imara, Iweni na Nguvu
    Mwimbieni Yehova
  • Uwe Macho, Simama Imara, Uwe na Nguvu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • “Kila Mtu Mahali Pake”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1982
  • “Upanga wa Yehova na wa Gideoni!”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2005
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 174

Wimbo 174

Kaeni Macho, Simameni Imara, Mwe Hodari

(1 Wakorintho 16:13)

1. Muwe macho na imara

Vitani adilifu.

Fanyeni kiumeume,

Ushindi u karibu.

Yesu Gideoni Mukuu,

Twazunguka Wamidiani.

Karibu agizo litoke,

Kukimbiza adui.

2. Muwe macho na akili,

Na tayari kutii.

Kila mutu akitii

Neno la Yesu Kristo.

Mufano wake watufunza

Kukubaliwa na Yehova.

Kama jeshi lenye umoja,

Kumutii Yehova.

3. Uwe macho, vumilia;

Mungojee Yehova.

Aongoza mambo yote;

Hachelewi kutenda.

Kama jeshi la Gideoni,

Amiri atatuambia.

Tii amuri za pigano,

Mungu akatetewe.

4. Tuwe macho na umoja

Kutetea Injili.

Tutii utaratibu

Wa kitheokrasi tu.

Na washikamani tupaze:

“’Panga wa Mungu, Gideoni!”

Tukae macho na imara!

Na hivyo hadi mwisho!

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki