Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 222
  • Kazia Zawadi Macho Yako!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kazia Zawadi Macho Yako!
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kaza Macho Kwenye Zawadi
    Mwimbieni Yehova
  • Kaza Macho Kwenye Zawadi!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Usiruhusu Chochote Kikunyang’anye Tuzo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
  • Kaza Macho Yako Kwenye Tuzo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 222

Wimbo 222

Kazia Zawadi Macho Yako!

(2 Wakorintho 4:18)

1. Vipofu wanapoona

Na viziwi kusikia,

Majangwa yachanuapo,

Pakame maji yawepo,

Viwete wanaporuka,

Wapendwa wasiachane

—Kupata baraka hizo,

Kazia zawadi macho.

2. Mabubu wanaposema,

Wazee kuwa vijana,

Ardhi izaapo sana

Na mema bila kukoma,

Na watoto waimbapo,

Furaha, amani kote,

Na kuona ufufuo,

Kazia zawadi macho.

3. Mbwa-mwitu, Wana-kondoo,

Na dubu kula pamoja,

Kivulana ’taongoza,

Watatii mwito wake.

Machozi yanapokoma,

Hofu, maumivu, kwisha;

Kuona baraka hizo,

Kazia zawadi macho.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki