Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 96
  • Kumtukuza Baba Yetu, Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kumtukuza Baba Yetu, Yehova
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Inatupasa Kuwa Watu wa Aina Gani?
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kupata Ushindi Juu ya Ulimwengu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kupata Urafiki wa Yehova
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Mpe Yehova Sifa
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 96

Wimbo 96

Kumtukuza Baba Yetu, Yehova

(Yohana 17:4)

1. Yehova viumbe vyako

Vyakutukuza wewe.

Ulikusudia viwe

Na vinasimulia.

Watoa baraka nyingi,

Zawadi nzuri zote.

Umetabiri, yanatimia

ndani ya Yesu.

Na Yesu aliimbiwa

Na malaika wako.

U mwema, ulitukomboa

kupitia Yesu!

2. Twafurahi Yesu katimiza

utume wake.

Lo! na yeye alishinda

Akabadili hali,

Sasa akiwa Mufalme

Ashika amri zako,

Jina na kusudi lako

Anajulisha kote,

Na sisi tunafurahi

Tunaimba kwa shangwe:

“Bwana Yehova, ataondoa

huzuni yote.”

3. Je! tusiimbe sifa zako,

na kukupendeza?

Tukijiweka wakifu,

Tukuhudumu sana?

Tutetee jina lako

Tufanye kazi yako.

Upendo wetu uzidi,

Pia bidii yetu.

Na tutakutumikia

Milele na milele.

Kuheshimu jina lako

Ndiyo tamaa yetu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki