Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 201
  • Kufurahi Pamoja na Taifa la Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kufurahi Pamoja na Taifa la Mungu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Taifa Takatifu la Yehova
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Wimbo kwa Aliye Juu Zaidi Sana
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Uzima wa Milele Umeahidiwa
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Hatimaye—Uzima Bila Mwisho!
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 201

Wimbo 201

Kufurahi Pamoja na Taifa la Mungu

(Zaburi 106:5)

1. Kwa kazi ya kuhubiri

Tunasihi watu wote:

“Sikilizeni Biblia.

Nanyi utafuteni ukweli.”

Mungu anaita,

Watu kutoka musiba,

Wapate taraja zuri,

Mufumo Mupya anaofanya.

(Korasi)

2. Ona! ‘taifa tukufu’

Limeundwa na Yehova

Zizini mwake kwa wakfu,

Litangaze wokovu wa Mungu.

Kibali ’tapewa

Tukitenda kwa adabu,

Kuiga Kristo Mwokozi;

Na tusiache utawa huo.

(Korasi)

3. Katika nchi kubwa bora,

Bila mizozo yoyote,

Ona! umati wa shangwe,

Utumishini mwema wa Mungu.

Hawapigi kite.

Kweli ya Mungu watwaa,

Wafuata Neno lake,

Na jina lake wanatukuza.

(KORASI)

Furahini, E watu!

Semeni ujumbe

Huo na “taifa” la Mungu.

Sujudieni Mungu.

Mwabuduni yeye.

’Jipange na Ufalme wa Mungu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki