Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 173
  • Upendo—Kifungo Kikamilifu cha Muungano

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Upendo—Kifungo Kikamilifu cha Muungano
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Mjengwe na Upendo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
  • Kujivika Wenyewe Upendo na Kuendelea Kuuvaa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
  • Jinsi ya Kuendelea Kuimarisha Upendo Miongoni Mwetu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
  • “Endeleeni Kutembea Katika Upendo”
    Mkaribie Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 173

Wimbo 173

Upendo—Kifungo Kikamilifu cha Muungano

(Wakolosai 3:14)

1. Upendo wa wengi sasa

Ni baridi sana.

Tuwe na pendo la kwanza

Tusiwe baridi.

Tuwe kama Mungu wetu,

Tutawapa wote

Upendo wa Mungu wetu

Kutoka moyoni.

2. Tusitawishe upendo

Bila unafiki,

Tuusitawishe sana

Na kuutawanya.

Tupanuke tufikie

Mioyo ya ndugu.

Penda apendao Mungu

Wape haki yao.

3. Lazima upendo wetu

Utuunganishe.

Kifungo cha muungano

Tukishikilie.

Tupendane kwa shauku

Nyingi, ya upole.

Utupe umoja mwingi,

Mpaka kazi ishe.

4. Uhusiano na Mungu

Utufanikishe

Na tupendane wakati

Huu wa hatari.

Tuwe na upendo mwingi

Wa moyo mweupe.

Kifungo kikamilifu

Chenye muungano.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki