Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 56
  • Songeni Mbele Kishujaa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Songeni Mbele Kishujaa
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Hatimaye—Uzima Bila Mwisho!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Uzima wa Milele Umeahidiwa
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Fanya Kweli Iwe Njia Yako ya Maisha
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Ahadi ya Mungu ya Paradiso
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 56

Wimbo 56

Songeni Mbele Kishujaa

(1 Timotheo 1:12)

1. Mwaminifu, mushikamanifu,

Hataogopa kamwe,

Kijasiri ashuhudia kweli

Kwamba, Ufalme upo.

(Korasi)

2. Imani kani yatutendesha;

Pendo, uaminifu.

Bidii kwa Mufalme yatufanya

Tutende bila choyo.

(Korasi)

3. Yehova ni shujaa, husihi

Tuwe waaminifu

Mpaka mufumo mubovu ukome

Ushindi ’Magedoni.

(KORASI)

Twende mbele. Kishujaa.

Ukweli uwe nuru.

Yehova ’sema: Nitawapa nguvu:

Pigania ukweli.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki