Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 206
  • “Lifurahieni Tumaini”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Lifurahieni Tumaini”
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Dumisha Tumaini Lako la Kikristo Likiwa Imara
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2022
  • Unaweza Kupata Wapi Tumaini la Kweli?
    Amkeni!—2004
  • Tumaini—Ulinzi Muhimu Katika Ulimwengu Usio na Tumaini
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
  • Mtumaini Yehova na Uwe Hodari
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 206

Wimbo 206

“Lifurahieni Tumaini”

(Warumi 12:12)

1. Tushukuru Mungu wetu

Kuishi kwa tumaini.

Hilo ni nanga hakika;

Kwalo tunathibitika.

Tumaini ni kofia

Humuzuia Shetani;

Hupinga mbali uovu

Hupa nguvu za adili.

2. Twalifurahia lile

Tumaini letu mbele

Na wafu kufufuliwa

Waipande Paradiso!

Milele hata milele

Watu watafaidika

Na mupango wake Mungu,

Wapate furaha tele.

3. Ili tulitie nguvu,

Tutunze safi mioyo,

Tusome Neno la Mungu,

Sala zetu zisikiwe.

Wengine wafurahie,

Tusiwe wenye uchoyo,

Bali tutangaze kote,

Wengine waje kwa Mungu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki