Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 169
  • Wimbo Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wimbo Mpya
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Wimbo Mpya
    Mwimbieni Yehova
  • Wimbo Mpya
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Mwimbie Yehova Sifa kwa Ushujaa!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Uzima wa Milele​—⁠Hatimaye!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 169

Wimbo 169

Wimbo Mpya

(Zaburi 98:1)

1. Imbia Mungu wimbo mupya wa furaha;

Sema matendo ya sasa na yajayo.

Sifu Mukono ’takatifu, wa ushindi;

Machoni pa watu kahukumu vema.

(Korasi)

2. Dunia yote ishangilie Yehova;

Musifu Mungu kwa shangwe na kicheko.

Sifu Yehova, imba sana mbele zake,

Zeze, tarumbeta visifu pamoja.

(Korasi)

3. Bahari, navyo vilivyomo vimusifu,

Wote duniani wamushangilie.

Mafuriko na mito ipige makofi,

Vilima, milima sifu nchini kote.

(KORASI)

Imbeni!

Sana Wimbo Mupya.

Imbeni!

Yehova Mufalme.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki