Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 127
  • Mahali Panapoitwa kwa Jina Lako

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mahali Panapoitwa kwa Jina Lako
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Mahali Panapoitwa kwa Jina Lako
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Mpe Yehova Utukufu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Tafadhali Sikiliza Sala Yangu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Tafadhali Sikiliza Sala Yangu
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 127

Wimbo Na. 127

Mahali Panapoitwa kwa Jina Lako

Makala Iliyochapishwa

(1 Nyakati 29:16)

1. Ni pendeleo, Ee, Yehova,

Kukujengea mahali!

Twakutolea kwa shukrani.

Heshima na sifa kwako.

Vyote tunavyokupatia,

Vimetoka kwako wewe.

Kazi, stadi, na mali zetu,

Twatoa kwa moyo wote.

(KORASI)

Tunakupa jengo hili,

Liitwe jina lako.

Twaliweka wakfu kwako;

Lipokee, twaomba.

2. Wastahili heshima, Baba,

Uzidi kupata sifa.

Utukufu upande juu.

Wengi wajiunge nasi.

Pawe mahali pa ibada.

Tutapatunza vizuri.

Watu wapate kukujua,

Na kazi isonge mbele.

(KORASI)

Tunakupa jengo hili,

Liitwe jina lako.

Twaliweka wakfu kwako;

Lipokee, twaomba.

(Ona pia 1 Fal. 8:18, 27; 1 Nya. 29:11-14; Mdo. 20:24.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki