Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 5
  • Kristo Mfano Wetu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kristo Mfano Wetu
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Kristo Mfano Wetu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kufanikisha Maisha Yetu
    Mwimbieni Yehova
  • Maisha ya Painia
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Maisha ya Painia
    Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 5

Wimbo Na. 5

Kristo, Mfano Wetu

Makala Iliyochapishwa

(Waroma 5:8)

1. Yehova ni mwema, Na mwenye rehema.

Katoa Mwana kwa ajili yetu.

Akawa mukate, Kusudi tupate

Kwishi milele, kwa shangwe tele.

2. Kristo katufunza, Jinsi ya kusali.

Baba mbinguni, jina litakaswe.

Ufalme na uje, Mapenzi yafanywe.

Tupe mukate, wetu wa leo.

3. Kweli alifunza, Naye kawatunza.

Wafwasi wake na kondoo zake.

Nasi tukisifu, Mungu kila siku.

Tutakuwa na shangwe daima.

(Ona pia Mt. 6:9-11; Yoh. 3:16; 6:31-51; Efe. 5:2.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki