Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 78
  • Ustahimilivu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ustahimilivu
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • “Iweni na Subira”
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • ‘Jivikeni Wenyewe Ustahimilivu’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
  • Yehova Ni Mungu Mstahimilivu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
  • Iweni Wastahimilivu Kuelekea Wote
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 78

Wimbo Na. 78

Ustahimilivu

Makala Iliyochapishwa

(Wagalatia 5:22)

1. Yehova, Baba yetu,

Hulipenda jina lake.

Ataka litakaswe,

Na suto kuondolewa.

Kavumilia mengi,

Tena muda murefu;

Ni mustahimilivu,

Hajachoka kamwe.

Ataka watu wote,

Wapate kuokolewa.

Astahimili yote,

Kwa faida yetu sote.

2. Nasi tunahitaji

Kuwa wastahimilivu.

Ghadhabu tuepuke.

Tukae kwa utulivu.

Tuzingatie mema,

Wafanyayo wengine.

Tutumaini mema,

Japo matatizo.

Na sifa za Kikristo,

Tuonyeshe sikuzote.

Na kwa kufanya hivyo,

Tumuige Mungu wetu.

(Ona pia Kut. 34:14; Isa. 40:28; 1 Kor. 13:4, 7; 1 Tim. 2:4.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki