Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 94
  • Kuridhika na Zawadi Nzuri za Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kuridhika na Zawadi Nzuri za Mungu
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • ‘Tukiwa Hatuna Kitu Lakini Tukiwa na Vitu Vyote’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
  • Tafuta Ufalme, Si Vitu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2016
  • Baraka za Yehova Hututajirisha
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
  • Ishi Maisha Yenye Usawaziko, Yaliyo Sahili
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 94

Wimbo Na. 94

Kuridhika na Zawadi Nzuri za Mungu

Makala Iliyochapishwa

(Yakobo 1:17)

1. Kila tuzo kamilifu,

Na zawadi njema,

Vyote tunavyovipenda,

Tunavyohitaji,

Hushuka kutoka juu,

Kwake Baba yetu,

Ambaye habadiliki Mungu

wetu Yehova.

2. Hatutahangaishwa na

Mahitaji yetu;

Twajua anatujali,

Huwalisha ndege.

Hatupotezi wakati,

Kwa yanayopita.

Twaridhika na maandalizi

yake Yehova.

3. Twaona mengi ambayo,

Ni ubatili tu.

Tutumie siku zetu,

Kuweka hazina.

Hata tukifa, twajua

Haziharibiki.

Tunaridhika na kudumisha

jicho rahisi.

(Ona pia Yer. 45:5; Mt. 6:25-34; 1 Tim. 6:8; Ebr. 13:5.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki