Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 95
  • “Onjeni Mwone ya Kuwa Yehova Ni Mwema”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Onjeni Mwone ya Kuwa Yehova Ni Mwema”
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • “Onjeni Mwone Kwamba Yehova Ni Mwema”
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kazi Yetu ya Upendo
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kazi Yetu ya Upendo
    Mwimbieni Yehova
  • Kuishi Kulingana na Jina Letu
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 95

Wimbo Na. 95

“Onjeni Mwone ya Kuwa Yehova Ni Mwema”

Makala Iliyochapishwa

(Zaburi 34:8)

1. Tunathamini huduma;

Na kazi ya kuhubiri.

Tunanunua wakati ili

Wengi wapate ujumbe.

(KORASI)

‘Onjeni mwone, Yah ni Mwema.’

Tuhofu Mungu wetu.

Ujitoaji wa kimungu

Una faida kubwa.

2. Kutegemea Yehova,

Huleta baraka nyingi.

Watumishi wa wakati wote,

Humutegemea Mungu.

(KORASI)

‘Onjeni mwone, Yah ni Mwema.’

Tuhofu Mungu wetu.

Ujitoaji wa kimungu

Una faida kubwa.

(Ona pia Marko 14:8; Luka 21:2; 1 Tim. 1:12; 6:6.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki