Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 96
  • Tafuteni Wanaostahili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tafuteni Wanaostahili
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Tafuteni Wanaostahili
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • “Ninyi Ni Chumvi ya Dunia”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
  • Mungu Mkuu, Yehova
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Uumbaji Unafunua Utukufu wa Yehova
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 96

Wimbo Na. 96

Tafuteni Wanaostahili

Makala Iliyochapishwa

(Mathayo 10:11-15)

1. Bwana alitufunza kuhubiri,

Akatupa maagizo:

‘Popote mwingiapo, tafuteni,

Wastahilio, wenye njaa.

Wasalimuni na kuwatakia,

Amani wenye kustahili.

Wengine wasipowasikiliza,

Wakung’utieni mavumbi.’

2. Wale wanaowapokea ninyi,

Wanamupokea Yesu.

Tumaini la uzima

Litawachochea wajiunge nanyi.

Musihangaikie la kusema,

Yehova atawawezesha.

Maneno ya fadhili, yenye chumvi,

Yatawavutia wapole.

(Ona pia Mdo. 13:48; 16:14; Kol. 4:6.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki