Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Machi uku. 5
  • Ayubu Mwaminifu Aeleza Jinsi Alivyoteseka Sana

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ayubu Mwaminifu Aeleza Jinsi Alivyoteseka Sana
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Ayubu Alivumilia—Hata Sisi Twaweza!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1994
  • Ayubu Alilitukuza Jina la Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • “Sitaukana Utimilifu Wangu!”
    Igeni Imani Yao
  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Ayubu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Machi uku. 5

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | AYUBU 6-10

Ayubu Mwaminifu Aeleza Jinsi Alivyoteseka Sana

Rafiki watatu wa Ayubu

Ayubu alipoteza mali zake zote, akafiwa, akawa mgonjwa sana, lakini bado aliendelea kuwa mwaminifu. Kwa hiyo, Shetani alijaribu kumvunja moyo Ayubu ili avunje utimilifu wake. “Rafiki” watatu walimtembelea. Mwanzoni, walionyesha kana kwamba wanamsikitikia. Kisha wakaketi kimya pamoja na Ayubu kwa siku saba, bila kuongea naye hata neno moja la kumfariji. Walipoanza kuongea naye walimlaumu sana na kumshutumu vikali.

Ayubu aliendelea kudumisha ushikamanifu wake kwa Yehova licha ya kukabili hali ngumu sana

6:3; 7:16; 9:20-22; 10:1, 12

  • Huzuni iliyopita kiasi ilisababisha Ayubu awe na mtazamo usiofaa. Alifikia mkataa kimakosa kwamba Mungu hakujali ikiwa angebaki mwaminifu

  • Kwa sababu alikuwa amevunjika moyo, Ayubu hakufikiri kwamba huenda kulikuwa na sababu nyingine zilizomfanya ateseke

  • Licha ya huzuni nyingi, Ayubu aliwaeleza washtaki wake jinsi anavyompenda Yehova

Ayubu akiwa na majipu mwilini
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki