Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Machi uku. 6
  • Machi 28–Aprili 3

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 28–Aprili 3
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Machi uku. 6

Machi 28–Aprili 3

Ayubu 11-15

  • Wimbo 111 na Sala

  • Utangulizi (Isizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Ayubu Alikuwa na Uhakika Kwamba Kungekuwa na Ufufuo”: (Dak. 10)

    • Ayu 14:1, 2—Ayubu alieleza waziwazi hali halisi ya sasa ya wanadamu (w15 3/1 3; w10 5/1 5 ¶1; w08 3/1 3 ¶3)

    • Ayu 14:13-15a—Ayubu alijua kwamba Yehova hatamsahau (w15 8/1 5; w14 1/1 7 ¶4; w11 3/1 22 ¶2-4)

    • Ayu 14:15b—Yehova anawathamini sana waabudu wake waaminifu (w15 8/1 7 ¶3; w14 6/15 14 ¶12; w11 3/1 22 ¶3-6)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Ayu 12:12—Ni kwa nini Wakristo wenye umri mkubwa wanaweza kuwasaidia Wakristo wenye umri mdogo? (g99 7/22 11, sanduku)

    • Ayu 15:27—Elifazi alimaanisha nini aliposema uso wa Ayubu ‘ulifunikwa kwa wingi wa mafuta’? (it-1 802 ¶4)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: Ayu 14:1-22 (Isizidi dak. 4)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: fg somo la 13¶1—Weka msingi wa ziara ya kurudia. (Isizidi dak. 2)

  • Ziara ya Kurudia: fg somo la 13 ¶2—Weka msingi wa ziara inayofuata. (Isizidi dak. 4)

  • Funzo la Biblia: fg somo la 13 ¶3-4 (Isizidi dak. 6)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 134

  • Mahitaji ya kutaniko: (Dak. 5)

  • “Ufufuo Unawezekana kwa Msingi wa Fidia”: (Dak. 10) Mazungumzo. Malizia kwa kuonyesha video iliyoonyeshwa kwenye Kusanyiko la Eneo la 2014 “Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme wa Mungu!”

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: ia sura ya 12 ¶1-12 (Dak. 30)

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza, na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 33 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki