Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 115
  • Kufanikisha Maisha Yetu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kufanikisha Maisha Yetu
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Muujiza wa Uhai
    Mwimbieni Yehova
  • Muujiza wa Uhai
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Maisha ya Painia
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Wafundishe Kusimama Imara
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 115

Wimbo Na. 115

Kufanikisha Maisha Yetu

Makala Iliyochapishwa

(Yoshua 1:8)

1. Twapenda Neno la Mungu,

Tusome daima.

Kila siku maishani,

Na kutafakari.

Lituongoze milele,

Kwa neno na tendo.

(KORASI)

Someni, mutafakari.

Mupate baraka.

Mukitembea na Mungu,

Mutafanikiwa.

2. Wafalme wa Israeli,

Waliamuriwa:

‘Jiandikie nakala,

Sheria ya Mungu.’

Daima na waisome,

Wasikengeuke.

(KORASI)

Someni, mutafakari.

Mupate baraka.

Mukitembea na Mungu,

Mutafanikiwa.

3. Tusomapo Neno Lake,

Twapata faraja.

Linatuliza mioyo;

Lajenga imani.

Tukitii tusomayo,

Tutasonga mbele.

(KORASI)

Someni, mutafakari.

Mupate baraka.

Mukitembea na Mungu,

Mutafanikiwa.

(Ona pia Kum. 17:18; 1 Fal. 2:3, 4; Zab. 119:1; Yer. 7:23.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki