Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj wimbo na. 48
  • Kutembea na Yehova Kila Siku

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kutembea na Yehova Kila Siku
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Kutembea na Yehova Kila Siku
    Mwimbieni Yehova
  • Kutembea Kila Siku Pamoja na Yehova
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Tembea Pamoja na Mungu!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Je, Utatembea Pamoja na Mungu?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2005
Pata Habari Zaidi
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj wimbo na. 48

WIMBO NA. 48

Kutembea na Yehova Kila Siku

Makala Iliyochapishwa

(Mika 6:8)

  1. 1. Twatembea na Yehova,

    Tukiwa na unyenyekevu.

    Anatuonyesha sisi

    Fadhili tusizostahili!

    Mungu ametupa fursa

    Ya kutembea naye.

    Hivyo twajiweka wakfu.

    Twasimama na Yehova.

  2. 2. Shetani ana hasira,

    Na mwisho unakaribia,

    Tunapata upinzani

    Uwezao kutuogofya.

    Yehova anatulinda;

    Tunamkaribia.

    Twamtumikia Yeye.

    Sikuzote tumpende.

  3. 3. Tunapata msaada

    Kupitia Neno na roho,

    Kutaniko la Kikristo,

    Nazo sala asikiazo.

    Tutembeapo na Mungu,

    Anatutegemeza.

    Tuwe washikamanifu,

    Na kuwa wenye kiasi.

(Ona pia Mwa. 5:24; 6:9; 1 Fal. 2:​3, 4.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki