Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj wimbo na. 80
  • “Onjeni Mwone Kwamba Yehova Ni Mwema”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Onjeni Mwone Kwamba Yehova Ni Mwema”
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • “Onjeni Mwone ya Kuwa Yehova Ni Mwema”
    Mwimbieni Yehova
  • Kazi Yetu ya Upendo
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kazi Yetu ya Upendo
    Mwimbieni Yehova
  • Kuishi Kulingana na Jina Letu
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj wimbo na. 80

WIMBO NA. 80

“Onjeni Mwone Kwamba Yehova Ni Mwema”

Makala Iliyochapishwa

(Zaburi 34:8)

  1. 1. Tunathamini huduma;

    Na kazi ya kuhubiri.

    Tunanunua wakati ili

    Wengi wapate ujumbe.

    (KORASI)

    ‘Onjeni mwone, Yah ni Mwema.’

    Tuhofu Mungu wetu.

    Ujitoaji wa kimungu

    Una faida kubwa.

  2. 2. Kutegemea Yehova,

    Huleta baraka nyingi.

    Watumishi wa wakati wote,

    Humtegemea Mungu.

    (KORASI)

    ‘Onjeni mwone, Yah ni Mwema.’

    Tuhofu Mungu wetu.

    Ujitoaji wa kimungu

    Una faida kubwa.

(Ona pia Marko 14:8; Luka 21:2; 1 Tim. 1:12; 6:6.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki