B15
Kalenda ya Kiebrania
| NISANI (ABIBU) Machi—Aprili | 14 Pasaka 15-21 Mikate Isiyo na Chachu 16 Kutoa mazao ya kwanza | Mvua zanyesha, Mto Yordani wafurika, theluji yayeyuka | Shayiri | 
| IYARI (ZIVU) Aprili—Mei | 14 Pasaka Iliyofanywa Baadaye | Majira ya kiangazi yaanza, kwa kawaida anga halina mawingu | Ngano | 
| SIVANI Mei—Juni | 6 Sherehe ya Majuma (Pentekoste) | Joto la kiangazi, hewa safi | Ngano, tini za kwanza | 
| TAMUZI Juni—Julai | Joto laongezeka, umande mwingi katika maeneo mbalimbali | Zabibu za kwanza | |
| ABI Julai—Agosti | Joto lafikia kilele | Matunda ya kiangazi | |
| ELULI Agosti—Septemba | Joto laendelea | Tende, zabibu, na tini | |
| TISHRI (ETHANIMU) Septemba—Oktoba | 1 Tarumbeta yapigwa 10 Siku ya Kufunika Dhambi 15-21 Sherehe ya Vibanda 22 Kusanyiko takatifu | Mwisho wa kiangazi, mwanzo wa mvua za mapema | Kulima | 
| HESHVANI (BULI) Oktoba—Novemba | Mvua nyepesi | Zeituni | |
| KISLEVU Novemba—Desemba | 25 Sherehe ya Wakfu | Mvua yaongezeka, baridi kali, theluji milimani | Mifugo yafungiwa | 
| TEBETHI Desemba—Januari | Baridi kali kabisa, mvua, theluji milimani | Mimea yachipuka | |
| SHEBATI Januari—Februari | Baridi yapungua, mvua yaendelea | Milozi yachanua | |
| ADARI Februari—Machi | 14, 15 Purimu | Ngurumo na mvua za mawe mara kwa mara | Kitani | 
| VEADARI Machi | Mwezi huu uliongezwa mara saba katika muda wa miaka 19 |