B15
Kalenda ya Kiebrania
NISANI (ABIBU) Machi—Aprili  | 
14 Pasaka 15-21 Mikate Isiyo na Chachu 16 Kutoa mazao ya kwanza  | 
Mvua zanyesha, Mto Yordani wafurika, theluji yayeyuka  | 
Shayiri  | 
IYARI (ZIVU) Aprili—Mei  | 
14 Pasaka Iliyofanywa Baadaye  | 
Majira ya kiangazi yaanza, kwa kawaida anga halina mawingu  | 
Ngano  | 
SIVANI Mei—Juni  | 
6 Sherehe ya Majuma (Pentekoste)  | 
Joto la kiangazi, hewa safi  | 
Ngano, tini za kwanza  | 
TAMUZI Juni—Julai  | 
Joto laongezeka, umande mwingi katika maeneo mbalimbali  | 
Zabibu za kwanza  | 
|
ABI Julai—Agosti  | 
Joto lafikia kilele  | 
Matunda ya kiangazi  | 
|
ELULI Agosti—Septemba  | 
Joto laendelea  | 
Tende, zabibu, na tini  | 
|
TISHRI (ETHANIMU) Septemba—Oktoba  | 
1 Tarumbeta yapigwa 10 Siku ya Kufunika Dhambi 15-21 Sherehe ya Vibanda 22 Kusanyiko takatifu  | 
Mwisho wa kiangazi, mwanzo wa mvua za mapema  | 
Kulima  | 
HESHVANI (BULI) Oktoba—Novemba  | 
Mvua nyepesi  | 
Zeituni  | 
|
KISLEVU Novemba—Desemba  | 
25 Sherehe ya Wakfu  | 
Mvua yaongezeka, baridi kali, theluji milimani  | 
Mifugo yafungiwa  | 
TEBETHI Desemba—Januari  | 
Baridi kali kabisa, mvua, theluji milimani  | 
Mimea yachipuka  | 
|
SHEBATI Januari—Februari  | 
Baridi yapungua, mvua yaendelea  | 
Milozi yachanua  | 
|
ADARI Februari—Machi  | 
14, 15 Purimu  | 
Ngurumo na mvua za mawe mara kwa mara  | 
Kitani  | 
VEADARI Machi  | 
Mwezi huu uliongezwa mara saba katika muda wa miaka 19  |