A7-D
Matukio Muhimu Katika Maisha ya Yesu Duniani—Huduma Kuu ya Yesu Huko Galilaya (Sehemu ya 2)
WAKATI  | 
MAHALI  | 
TUKIO  | 
MATHAYO  | 
MARKO  | 
LUKA  | 
YOHANA  | 
|---|---|---|---|---|---|---|
31 au 32  | 
Eneo la Kapernaumu  | 
Yesu asimulia mifano kuhusu Ufalme  | 
||||
Bahari ya Galilaya  | 
Atuliza bahari akiwa ndani ya mashua  | 
|||||
Eneo la Gadara  | 
Awatuma roho waovu ndani ya nguruwe  | 
|||||
Huenda ni Kapernaumu  | 
Amponya mwanamke mwenye mtiririko wa damu; amfufua binti ya Yairo  | 
|||||
Kapernaumu (?)  | 
Awaponya vipofu na mabubu  | 
|||||
Nazareti  | 
Akataliwa tena katika mji wa nyumbani kwao  | 
|||||
Galilaya  | 
Safari ya tatu kwenda Galilaya; apanua kazi kwa kuwatuma mitume  | 
|||||
Tiberia  | 
Herode amkata kichwa Yohana Mbatizaji; Herode ashangazwa na Yesu  | 
|||||
32, karibu na Pasaka (Joh 6:4)  | 
Kapernaumu (?); Kask. Mash. ya Bahari ya Galilaya  | 
Mitme warudi kutoka safari ya kuhubiri; Yesu alisha wanaume 5,000  | 
||||
Kask. Mash. ya Bahari ya Galilaya; Genesareti  | 
Wajaribu kumfanya Yesu mfalme; atembea juu ya bahari; aponya wengi  | 
|||||
Kapernaumu  | 
Asema yeye ndiye “mkate wa uzima”; wengi wakwazika na kumwacha  | 
|||||
32, baada ya Pasaka  | 
Labda Kapernaumu  | 
Afunua mapokeo ya wanadamu  | 
||||
Foinike; Dekapoli  | 
Amponya binti ya mwanamke Msirofoinike; alisha wanaume 4,000  | 
|||||
Magadani  | 
Akataa kutoa ishara ila ya Yona  |