Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g00 4/8 uku. 32
  • Siku ya Kukumbukwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Siku ya Kukumbukwa
  • Amkeni!—2000
Amkeni!—2000
g00 4/8 uku. 32

Aprili 19, 2000

Siku ya Kukumbukwa

JIONI ya kabla ya kufa kwake, Yesu alianzisha ukumbusho wa kifo chake. Ilikuwa sherehe sahili. Wakati huo aliwaambia hivi wanafunzi wake: “Fulizeni kufanya hili katika ukumbuko wangu.”—Luka 22:19.

Mwaka huu ukumbusho wa tukio hilo utakuwa Jumatano, Aprili 19, baada ya jua kutua.

Kwa hiyo, Mashahidi wa Yehova ulimwenguni pote watakusanyika jioni hiyo ya pekee ili kuadhimisha Ukumbusho huu namna Yesu alivyoomba ufanywe. Unaalikwa kwa uchangamfu sana ujiunge nao mkiwa watazamaji. Tafadhali uliza Mashahidi wa Yehova saa hasa na mahali pa kukutana.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki