Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 3/10 kur. 14-31
  • Mazungumzo ya Familia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mazungumzo ya Familia
  • Amkeni!—2010
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Kuna Kasoro Gani Katika Picha Hii?
  • UNAJUA NINI KUHUSU MFALME SULEMANI?
  • WATOTO WATAFUTE PICHA
  • KATIKA TOLEO HILI
  • MAJIBU YA UKURASA WA 31
  • Mazungumzo ya Familia
    Amkeni!—2010
  • Mazungumzo ya Familia
    Amkeni!—2010
  • Mazungumzo ya Familia
    Amkeni!—2010
  • Mazungumzo ya Familia
    Amkeni!—2010
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2010
g 3/10 kur. 14-31

Mazungumzo ya Familia

Kuna Kasoro Gani Katika Picha Hii?

Soma Kutoka 12:1-8, 17-20, 24-27; Marko 14:12, 22-26; Yohana 13:1, 21-30. Kisha utazame picha hiyo ya Mlo wa Jioni wa Bwana. Ina kasoro gani? Andika majibu yako kwenye mistari iliyo hapa chini.

1. ․․․․․

2. ․․․․․

3. ․․․․․

ZUNGUMZENI PAMOJA:

Kwa nini Yesu alitumia mkate usiotiwa chachu kufananisha mwili wake?

DOKEZO: Soma 1 Wakorintho 5:6-8; Waebrania 4:14, 15.

UNAJUA NINI KUHUSU MFALME SULEMANI?

4. Mama ya Sulemani alikuwa nani?

DOKEZO: Soma 2 Samweli 12:24.

․․․․․

5. Daudi na mama ya Sulemani walikuwa na wana wengine wangapi?

DOKEZO: Soma 2 Samweli 11:26, 27; 1 Mambo ya Nyakati 3:5.

․․․․․

ZUNGUMZENI PAMOJA:

Kwa nini Sulemani alikuwa mwenye hekima nyingi?

DOKEZO: Soma 1 Wafalme 3:5-14.

Unawezaje kuwa mwenye hekima?

WATOTO WATAFUTE PICHA

Je, unaweza kupata picha hizi katika toleo hili? Kwa maneno yako mwenyewe, eleza jambo linalotendeka katika kila picha.

KATIKA TOLEO HILI

Jibu maswali haya, na utaje mistari ya Biblia ambayo haijaonyeshwa.

UKURASA WA 19 Kujifanyia maamuzi yako mwenyewe ni ishara ya nini? Methali 1:________

UKURASA WA 19 Yesu aliwashauri wanafunzi wake wasali wakiwa wapi? Mathayo 6:________

UKURASA WA 28 “Maandishi matakatifu” yanaweza kufanya nini? 2 Timotheo 3:________

UKURASA WA 29 “Faraja kutokana na Maandiko” inaweza kutupa nini? Waroma 15: ________

● Majibu kwenye ukurasa wa 14

MAJIBU YA UKURASA WA 31

1. Kunapaswa kuwa na mitume 11 tu, na si 12.

2. Mkate haupaswi kuwa na chachu na hivyo haupaswi kufura.

3. Nyama ilikuwa ya kondoo, si ya nguruwe.

4. Bath-sheba.

5. Mbali na Sulemani, Daudi na Bath-sheba walikuwa na wana wengine wanne.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki