Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 2/10 kur. 15-31
  • Mazungumzo ya Familia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mazungumzo ya Familia
  • Amkeni!—2010
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Ni Nini Kimekosekana Katika Picha Hii?
  • UNAJUA NINI KUHUSU MFALME DAUDI?
  • WATOTO WATAFUTE PICHA
  • KATIKA TOLEO HILI
  • MAJIBU YA UKURASA WA 31
  • Mazungumzo ya Familia
    Amkeni!—2010
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2009
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2009
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2008
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2010
g 2/10 kur. 15-31

Mazungumzo ya Familia

Ni Nini Kimekosekana Katika Picha Hii?

Soma Waamuzi 7:15-22. Kisha utazame picha. Ni vitu gani vimekosekana? Andika majibu yako kwenye mistari iliyo hapa chini.

1. ․․․․․

2 ․․․․․

3 ․․․․․

ZUNGUMZENI PAMOJA:

Kwa nini Gideoni na wanaume wake walishinda vita? Kwa nini Gideoni na wanaume wake walikuwa na ujasiri mwingi? Ni wakati gani unahitaji kuwa jasiri kama Gideoni?

UNAJUA NINI KUHUSU MFALME DAUDI?

4. Daudi alikuwa na kaka wangapi?

DOKEZO: Soma 1 Samweli 16:10, 11.

․․․․․

5. Kaka wa kwanza wa Daudi aliitwa nani?

DOKEZO: Soma 1 Samweli 17:28.

․․․․․

ZUNGUMZENI PAMOJA:

Unafikiri ni kwa nini kaka wa kwanza wa Daudi alikuwa mkali kwake? Kwa nini wewe unapaswa kuwatendea ndugu na dada zako kwa fadhili?

WATOTO WATAFUTE PICHA

Je, unaweza kupata picha hizi katika toleo hili? Kwa maneno yako mwenyewe, eleza jambo linalotendeka katika kila picha.

KATIKA TOLEO HILI

Jibu maswali haya na utaje mistari ya Biblia ambayo haijaonyeshwa.

UKURASA WA 4 Ndoa ni muungano wa aina gani? Mathayo 19:________

UKURASA WA 9 “Ni jambo lenye kupendeza” kufanya nini? Methali 19:________

UKURASA WA 12 Moyo ni wenye nini? Yeremia 17:________

UKURASA WA 22 Imani ni nini? Waebrania 11:________

● Majibu kwenye ukurasa wa 15

MAJIBU YA UKURASA WA 31

1. Baragumu.

2. Mitungi.

3. Mienge.

4. Saba.

5. Eliabu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki