Fahirisi ya Amkeni! kwa Mwaka wa 2016
“Asanteni kwa magazeti yenye habari ninazohitaji.”—Amy
Akiwa mama, Amy amepata mapendekezo yanayofaa ya jinsi ya kushughulikia hali za kila siku kwenye gazeti la Amkeni! Kama Amy, mamilioni ya wasomaji wamenufaika kwa kusoma gazeti hili linalotoka mara moja kwa miezi miwili. Tembelea tovuti ya www.jw.org/sw ili kusoma makala za mwaka 2016.
AFYA NA TIBA
DINI
Biblia Inasema Nini Kuhusu Ngono Kati ya Watu wa Jinsia Moja: Na. 4
Je, Biblia ni Kitabu Chenye Manufaa? Na. 2
Je, Yesu Alikuwa Mtu Halisi? Na. 5
MAHOJIANO
Mtaalamu wa Biolojia ya Viini-Tete Anaeleza kwa Nini Anamwamini Mungu (Y. Hsuuw): Na. 2
MAHUSIANO YA WANADAMU
Jinsi ya Kuonyesha Heshima (ndoa): Na. 6
Jinsi ya Kupata Marafiki wa Kweli: Na. 1
Jinsi ya Kuzungumzia Matatizo (familia): Na. 3
Kumsaidia Mtoto Anapobalehe: Na. 2
Kuwafundisha Watoto Kuhusu Ngono: Na. 5
MAMBO MENGINE
Jinsi ya Kukabiliana na Mabadiliko: Na. 4
Jinsi ya Kusitawisha Mazoea Mazuri: Na. 4
Mtazamo Unaweza Kuboresha Maisha Yako!: Na. 1
MAONI YA BIBLIA
MASHAHIDI WA YEHOVA
“Hiyo ni Mbinu Mpya!” (jw.org): Na. 5
Kushinda Kizuizi cha Lugha: Na. 3
Unajua Nini Kuhusu Mashahidi Wa Yehova? Na. 1
NCHI NA WATU
SAYANSI
Elementi ya Ajabu (kaboni): Na. 5
Mzunguko wa Maisha ya Nyenje: Na. 4
Nyuzinyuzi za Kome wa Baharini: Na. 6
Shingo ya Chungu: Na. 3
Uwezo wa Kujibadili Rangi wa Ngisi Anayeitwa Cuttlefish: Na. 1