Fahirisi ya Amkeni! kwa Mwaka wa 2017
Amkeni! ndilo gazeti lenye habari za ujumla linalosambazwa zaidi duniani!
Nakala zaidi ya milioni 360 huchapishwa katika lugha zaidi ya 100!
AFYA NA TIBA
Vijana Walioshuka Moyo: Na. 1
DINI
Je, Kweli Biblia Ni Kitabu cha Mungu? Na. 3
MAHOJIANO
Mtaalamu wa Programu za Kompyuta Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu (Dakt. Fan Yu): Na. 3
Mtaalamu wa Ubongo Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu (Rajesh Kalaria): Na. 4
MAHUSIANO YA WANADAMU
Je, Inafaa Kujihatarisha Kwa Kusudi la Kujisisimua? (vijana): Na. 5
‘Jina Zuri Ni Bora Kuliko Utajiri Mwingi’: Na. 4
Jinsi ya Kuonyesha Uthamini (ndoa): Na. 1
Kuwafundisha Watoto Unyenyekevu (wazazi): Na. 6
Mzazi Anapokufa (vijana): Na. 2
Tabasamu—Zawadi Unayoweza Kushiriki na Wengine: Na. 1
Umuhimu wa Kazi za Nyumbani (wazazi): Na. 3
Watoto Wanapoondoka Nyumbani (ndoa): Na. 4
Watoto Wanavyoweza Kukabiliana na Huzuni: Na. 2
MAMBO MENGINE
Je, Una Shughuli Nyingi Kupita Kiasi? Na. 4
Kuokoa Nishati: Na. 5
Ni Nini Chanzo cha Mambo ya Uchawi? Na. 2
MAONI YA BIBLIA
MASHAHIDI WA YEHOVA
“Upendo Wao Ulitugusa Moyo Sana” (tetemeko nchini Nepal): Na. 1
MATUKIO NA HALI ZA ULIMWENGU
NCHI NA WATU
SAYANSI
Manyoya ya Fisi Maji wa Baharini: Na. 3
Mbinu ya Nyuki ya Kutua: Na. 2
Mfumo wa Neva Ulio Tumboni: Na. 3
Mng’ao wa Bluu wa Beri Aina ya Pollia: Na. 4
Ngozi ya Chungu wa Sahara—Mwavuli Unaomkinga na Joto: Na. 1
Umbo la Magamba ya Moluska: Na. 5
WANYAMA NA MIMEA
Membe wa Aktiki: Na. 4
WATU WANAOTAJWA KATIKA HISTORIA
Alhazen: Na. 6