Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g22 Na. 1 uku. 3
  • Unaweza Kukabilianaje na Ulimwengu Wenye Misukosuko?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Unaweza Kukabilianaje na Ulimwengu Wenye Misukosuko?
  • Amkeni!—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Katika Gazeti Hili la Amkeni!
    Amkeni!—2022
  • Majanga Yanapotokea
    Amkeni!—2014
  • Kichwa cha Mazungumzo
    Huduma Yetu ya Ufalme—1991
  • Yaliyomo
    Amkeni!—2022
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2022
g22 Na. 1 uku. 3
Mwanamke mwenye mkazo akitazama simu yake. Anaona picha za vurugu, majanga ya asili, mama mwenye huzuni akiwa amembeba mtoto wake, kisehemu cha kirusi cha corona, na wodi ya hospitali.

Unaweza Kukabilianaje na Ulimwengu Wenye Misukosuko?

Je, unafikiri matatizo yanayokuathiri wewe binafsi ni mengi zaidi sasa kuliko wakati mwingine wowote? Je, umejionea mambo haya yakitokea kwenye eneo unaloishi?

  • vita

  • magonjwa ya mlipuko

  • majanga ya asili

  • umaskini

  • ubaguzi

  • uhalifu

Watu wengi hushtuka na kukosa tumaini mambo mabaya yanapotokea. Baadhi ya watu hushtushwa sana na majanga hivi kwamba wanashindwa kuonyesha hisia yoyote. Hata hivyo, tunapokabili janga, mshtuko na woga wa muda mrefu hufanya hali iwe mbaya zaidi.

Unapokabili mambo mabaya, chukua hatua za haraka ili kulinda wapendwa wako, afya yako, na furaha yako.

Unaweza kufanya nini sasa ili kupunguza athari ya matatizo unayokabili katika ulimwengu huu?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki