Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 7/14 uku. 4
  • Majanga Yanapotokea

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Majanga Yanapotokea
  • Amkeni!—2014
  • Habari Zinazolingana
  • Utangulizi
    Amkeni!—2020
  • Naweza Kukabilianaje na Msiba?
    Vijana Huuliza
  • Mapendekezo Kwa Ajili ya Utumishi
    Huduma Yetu ya Ufalme—2014
  • Majanga Yanapotokea
    Unaweza Kuwa na Familia Yenye Furaha
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2014
g 7/14 uku. 4
1. Vifusi baada ya msiba wa asili; 2. Kitanda cha hospitali; 3. Aksidenti ya barabarani

HABARI KUU | MAJANGA YANAPOTOKEA

Majanga Yanapotokea

WAKATI fulani, sisi sote hupatwa na janga la aina fulani. Hata matajiri hupatwa pia na matatizo.

BIBLIA INASEMA HIVI:

“Si wenye mbio wanaoshinda katika mbio, wala wenye nguvu wanaoshinda katika pigano, wala pia wenye hekima wanaopata chakula, wala pia wenye uelewaji wanaokuwa na utajiri, wala wenye ujuzi wanaopata kibali; kwa sababu wakati na tukio lisilotazamiwa huwapata wote.”— Mhubiri 9:11.

Kwa hiyo jambo la kuzingatia si ikiwa utapatwa na janga bali jinsi utakavyokabiliana na hali hiyo. Kwa mfano:

  • Utafanyaje ukipoteza mali zako zote katika msiba wa asili?

  • Namna gani ukipatwa na ugonjwa hatari?

  • Na vipi mtu unayempenda akifa?

Mashahidi wa Yehova ambao ni wachapishaji wa gazeti hili, wanaamini kwamba Biblia inaweza kukusaidia kukabiliana na majanga na pia kupata tumaini la kweli. (Waroma 15:4) Chunguza mifano mitatu ifuatayo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki