Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g20 Na. 2 uku. 2
  • Utangulizi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utangulizi
  • Amkeni!—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Majanga Yanapotokea
    Amkeni!—2014
  • Je, Wakati Ujao Wetu Umeandikwa Kimbele?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1998
  • Je, Wapaswa Kuamini Katika Kutwaa Umbo Jipya?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1997
  • Kwa Nini Watu Wazuri Hupatwa na Mambo Mabaya?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2020
g20 Na. 2 uku. 2
Eneo ambalo watu wanasubiri kumwona daktari. Wenzi wa ndoa waliosimama karibu na mlango wakipokea habari mbaya kutoka kwa daktari. Watu wengine wameketi wakisubiri kumwona daktari.

Utangulizi

Kila mmoja wetu ameathiriwa kwa kadiri fulani na matatizo makubwa kama vile ugonjwa, aksidenti, majanga ya asili au kutendewa kwa jeuri.

Watu wanahangaika kutafuta majibu.

  • Baadhi ya watu wanaamini kwamba kuteseka ni mipango ya Mungu au wanahisi hatuwezi kuzuia mambo yanayotupata.

  • Wengine wanaamini tunateseka kwa sababu ya mambo tuliyofanya zamani kabla ya kuzaliwa upya.

Matatizo makubwa yanapotokea, watu hujiuliza maswali mengi sana.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki