Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • yp2 kur. 112-113
  • Shule Na Wanafunzi Wenzako

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Shule Na Wanafunzi Wenzako
  • Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
  • Habari Zinazolingana
  • Daftari—Shule na Vijana Wenzako
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
  • Jinsi ya Kutoa Mwongozo Kama Mzazi
    Msaada kwa Ajili ya Familia
  • Je, Niache Shule?
    Amkeni!—2010
  • Shule Yenye Mafanikio Ambayo Ni ya Ulimwenguni Pote
    Amkeni!—1995
Pata Habari Zaidi
Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
yp2 kur. 112-113

SEHEMU YA 4

Shule Na Wanafunzi Wenzako

Je, masomo fulani ni magumu sana kwako hivi kwamba yanakutoa jasho wakati wa mtihani?

□ Ndiyo

□ Hapana

Je, umewahi kudhulumiwa au kunyanyaswa kimapenzi shuleni?

□ Ndiyo

□ Hapana

Je, nyakati nyingine wewe hushawishiwa kujiunga na wanafunzi wenzako katika mwenendo usiofaa?

□ Ndiyo

□ Hapana

Huenda ukasema, ‘Ikiwa ninawezana na maisha ya shuleni, basi hakuna kitu chochote kinachoweza kunishinda!’ Na kuna ukweli fulani katika maneno hayo. Shuleni ni mahali ambapo akili, hisia, na hali yako ya kiroho hujaribiwa. Unawezaje kupata elimu ambayo itakufaidi na wakati uleule kuepuka kuchafuliwa na mitazamo ya wanafunzi wenzako inayomvunjia Mungu heshima? Sura ya 13-17 zitakusaidia kupata ustadi unaohitaji.

[Picha katika ukurasa wa 112, 113

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki